Saturday, March 9, 2013

BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAWAKILISHI KUTOKA MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO NA TANGA WALIPOHUDHURIA SEMINA YA SIKU MOJA KUHUSU CHANJO MPYA YA KUTIBU MARADHI YA NIUMONIA NA KUHARA KWA WATOTO MJINI MOSHI JANA

Mganga mkuu wa Mkoa wa Tanga akitoa hotuba yake katika mafunzo ya siku moja kwa waandishi wahabari kutoka kanda ya Kaskazini kuhusu chanjo mpya ya kuhara na nimonia kwa watoto jana katika ukumbi wa hoteli ya Kilimanjaro Cranes

waandishi wakisikiliza kwa makini

waandishi wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

Angelo Mwoleka kutoka klabu ya waandishi wa habari Arusha akifuatilia somo kutoka kwa watendaji wa wizara ya afya kuhusu ujio wa chanjo mpya ya nimonia na kuhara kwa watoto katika mafunzo ya siku moja yaliyofanyika ukmbi wa Kilimanjaro crane moshi jana


No comments: