Saturday, March 9, 2013

GARI LA KUSAMBAZA SODA ZA KAMPUNI YA BONITE BOTTLERS LIKIWA LIMEANGUKA PEMBENI YA BARABARA KUU YA ARUSHA MOSHI JANA, MAJERUHI AMBAO NI UTINGO NA DEREVA WAKEWALIWAHISHWA HOSPITALI
wakazi wa Moshi wakiokota mabaki ya chupa za soda

Wakazi wa Boma wakiokota mabaki ya chupa za soda za kampuni ya bonite Bottlers ya Moshibaada ya gari hilo  kuanguka na kuteketeza mali zote

No comments: