Friday, April 5, 2013

ASKOFU LEBULU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MISA YA KUOMBEA AMANI TANZANIA, MISA HIYO ITAKAYOANZA KWA MAANDAMANO ITAFANYIKA KANISA LA MT. THERESIA ZILIZOPO OFISI KUU ZA KATOLIKI ARUSHA

Askofu Mkuu jimbo kuu Katoliki Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani),  katika ofisi zake zilizopo Parokia ya Burka jijini hapa kuhusu misa takatifu ya kuiombea amani Tanzania itakayofanyika jumapili hii katika kanisa la St. Theresia. kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano jimbo katoliki Arusha, Padre Festus Yustus Mangwangi.

Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Arusha Mhashamu Josephat Lebulu akisalimiana na Mwenyekiti wa baraza la Walei, jana katika ofisi zake zilizopo Burka muda mfupi baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari

ASKOFU MKUU JIMBO KATOLIKI ARUSHA JOSEPHAT LEBULU KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAJUMBE WA  KAMATI YA WALEI JIMBO KATOLIKI ARUSHA

Mtangazaji wa kituo cha Radio 5 na MC Maarufu jijini Arusha, David Rwenyagira akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu, Jimbo Kuu Katoliki Arusha Mhashamu Josephat Lebulu

Askofu Mkuu Josephat Lebulu wa Kanisa Katoliki jimbo kuu Arusha akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria Kikao chake katika ofisi zake zilizopo parokia ya Burka jijini Arusha

Askofu Lebulu akifurahia jambo na mtangazaji wa MJ Radio, Charles Beda

Askofu Lebulu akisalimiana na Katibu wa kamati ya walei, Mama Mosha katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano jimboni humo Padre Festus Yustus Mangwangi

No comments: