Monday, April 22, 2013

MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI RUFANI YA DHIDI YA LEMA, WAAMRIWA WALIPE GHARAMA ZOTE ZA KESIOmbi la kwanza la waleta rufani lakutaka review ya uamuzi uliotolewa na mahakama ya rufaa juu ya kesi ya Myh.Lema na kutaka isikilizwe najopo la majaji 7, limetupiliwa mbali leo katika Mahakam ya rufaa na sasa ni majaji wale wale waliotoa hukumu wamepitia, mahakama imetupilia mbali madai ya kwanza kwa kuwa hayapo based on merits
Kesi hii ilifunguliwa tena baada ya Mh.Lema kushinda rufaa tarehe 21 desemba 2012, warufani safari hii walitaka mahakama ipitie upya uamuzi uliotolewa na jopo la majaji watatu na wametaka kuwe na majaji saba
Mahakama imetupilia mbali mashtaka yao na Mahakama imewaamuru tena wakata rufaa walipe gharama zote za kesi

No comments: