Thursday, April 11, 2013

MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI SAFI NA TAKA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI ARUSHA

Afisa Uhusiano Msaidizi wa AUWSA Willium shayo (nyuma ya waandishi wahabari aliyesimama), akitoa maelekezo katika kikao hicho na waandishi wa habari leo

Waandishi wa habari wakiwa kazini

Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na maji taka, Injinia Ruth Koya akizugumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio iliyopata Mamlaka hiyo tangu alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi mwaka mmoja na nusu sasa

Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurungezi wa AUWSA

Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mkurugenzi wa AUWSA LEO

Mkurungezi wa AUWSA Ruth Koya akiendelea kutoa ufafanuzi wa mafanikio ya kazi  ya mamlaka hiyo tangu alipoteuliwa kushikili wadhifa wa ukurugenzi leo mbele ya waandishi wa habari wananoonekana pichani

No comments: