Monday, April 8, 2013

MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA ARUSHA, ROBINSON MEITINYIKU AKIFUNGUA MATAWI YA CCM KATIKA KATA YA USA - RIVER, ATOA ONYO KWA WAPINZANI WAJIANDAE 2015

Mwenyekiti wa UVCCM, Robinson Meitinyiku akipandika bendera ya CCM katika kijiji cha makadirisho

Akifungua bendera

Mwenyekiti wa UVCCM akitoa risala fupi kwa wakazi wa mjimwema alipokuwa akizindua matawi mapya ya CCM katika kata ya USA-RIVER


Mwenyekiti wa UVCCM Robinson Meitinyiku akihutubia umati wa wakazi wa kata ya USA juzi katika kiwanda cha Ngarasero wilayani Arumeru

Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Robinson Meitinyiku juzi katika uwanja wa Ngarasero, Usa river wilayani Arumeru alipokuwa akizindua matawi mapya ya chama hicho

akiendelea kuhutubiaMwenyekiti wa UVCCM Robinson Meitinyiku akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano wake katika viwanja vya ngarasero, Usa- river, wilayani ArumeruNo comments: