Tuesday, April 23, 2013

NAIBU WAZIRI JANETH MBENE AFUNGUA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA WIZARA NA IDARA MBALIMBALI KUHUSU SEKTA YA FEDHA

Naibu Waziri wa Fedha,janeth Mbene akijibu maswali ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini

Naibu waziri wa fedha Janeth Mbene akiwasilisha hotuba yake katika ufunguzi wa mafunzo hayo

Alex Afisa kutoka Wizara ya Fedha akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawaonekani pichani)

Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara ya Fedha ambaye ni Mratibu wa Mafunzo akizungumza na waandishi wa habari

Kiongozi wa mafunzo akiwasilisha ratiba, wa kwanza kushoto ni naibu waziri wa fedha Janeth Mbene

Waandishi wa habari wakimhoji mmoja wa wakurugenzi wizarani hapo

Fatma Urari na Mwantumu Dau wakisikiliza hotuba ya Naibu waziri wa fedha Janeth Mbena kwa makini

washiriki wakisikiliza kwa makini na wengine wakichukua taarifa kwa ufupi

Picha ya pamoja na Naibu waziri Janeth Mbene

Picha ya pamoja na Naibu waziri Janeth Mbene

Wadau kutoka wizara na idara mbalimbali

No comments: