Friday, April 5, 2013

PICHA MBALIMBALI MTUHUMIWA MAUAJI YA PADRE ZANZIBAR ATINGA KORTINI

Mtuhumiwa wa mauaji ya padre Evarist Mushi wa Parokia ya Minara miwili zanzibar, Omar Mussa  Makame (35) akiwa Mahakamani leo, Zanzibar

Mtuhumiwa wa mauaji ya padre Evarist Mushi wa Parokia ya Minara miwili zanzibar, Omar Mussa  Makame (35) akizungumza na wakili wake Abdallah Juma leo, Zanzibar. katikati ni wakili wake mwingine, Rajab Abdallah

No comments: