Friday, April 5, 2013

PICHA MBALIMBALI WABARBAIG VILIMAVITATU, MARAMBOI WAFURAHIA HUKUMU YA MAHAKAMA YA RUFAA ILIYOWAPA USHINDI DHIDI YA HALMASHAURI YA KIJIJI.


wakijiandaa kucheza ngoma

Vijana wakike wakijiandaa kwa kucheza ngoma
Mitungi inayotumika kuhifadhia pombe ya asali maarufu kwa jina la Gesuda


Vijana wa kike wa Kibarbaig wakijiandaa kwa ngoma

Mmoja wa wanaharakati wa jamii ya kibarbaig Udagwenga akisalimiana na Meneja wa kampuni ya utalii ya Moyo Afrika walipotembelea maramboi hivi karibuni

Vijana wa Kibarbaig wakiimba wimbo wa kabila hilo katika sherehe za kufurahia ushindi wa mahakama ya rufaa kuwarudishia eneo lao

Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Moyo Afrika, Wakili Duncan Mayomba Gitakanod akisalimiana na mzee Giyam mmoja wa wazee waliokuwa kinara katika kesi ya kuhamishwa katika eneo hilo

Duncan akisalimiana na kina Mama wa jamii ya kibarbaig

Wakili Duncan akisalimiana na kina Mama wa Kibarbaig

Vijana wa Kibarbaig wakiimba wimbo

Meneja wa kampuni ya utalii ya Moyo Afrika Maria akiwa katika picha ya pamoja baba mwenye nyumba alipopigia picha hiyo, wa pili kutoka kulia mzee Giyam Marish, wa kwanza kulia mzee Mangi, na wa kwanza kushoto ni mtoto wa mzee Giyam.

No comments: