Wednesday, April 10, 2013

SHEREHE ZA WABARBAIG WA VILIMAVITATU, MARAMBOI, MDORII KUFURAHIA USHINDI WA KUREJESHEWA ENEO LAO NA MAHAKAMA KUU

Vijana wa kibarbaig wakitoa ndani pombe ya asili ya kabila hilo tayari kunywewa

Vijana wa Kibarbaig wakijitayarisha kuanza kugawa pombe ya Gesoda

Gesoda ikimiminwa kwenye pembe tayari kwa kunywewa


Wakili Duncan Mayomba akinywa Gesoda, pombe ya kienyeji inayotengenezwa kwa mizizi ya alovera na asali


Wakili Duncan akimshikilia mwandishi Richard Mwangulube pembe iliyojaa pombe aina ya Gesoda

Vijana wa Kibarbaig wakiwakabidhi pombe aina ya Gesoda Mwandishi Richard Mwangulube na Wakili Duncan

Kijana wa Kibarbaig akimjazia pombe aina ya Gesoda Wakili Duncan


Mwandishi Mkongwe, Richard Mwangulube akipiga fundo la Gesuda pombe ya asili ya wabarbaig

Maria akipata Gesoda

Maria akicheza ngoma ya asili ya kibarbaig

No comments: