Wednesday, May 15, 2013

A TO Z YATOA MSAADA WA FULANA ZA MWENGE KWA DC WA HAI NOVATUS MAKUNGA


Mkurugenzi wa kiwanda cha kutengeneza chandarua cha A TO Z Anuj Shah akimkabidhi msaada wa fulana kwaajili ya sherehe za kupokea Mwenge wilayani Hai, Mkuu wa Wilaya hiyo Novatus Makunga kulia.
Mkurugenzi wa kiwanda cha ATOZ Anuj Shah akimkabidhi fulana Mkuu wa Wilaya ya Hai Novatus MakungaNo comments: