Tuesday, May 7, 2013

BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA AKIFUNGUA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAM KWA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Balozi wa Jumuiya ya nchi za Ulaya, Rose Mwalongo wa kituo cha haki za binaadm na mwandishi Francis Godwini katikati wakijadili jambo na balozi huyo leo jijini Dar es salaam, muda mfupi baada ya balozi huyo kufungua mafunzo ya haki za binaadam kwa waandishi wa habari yanayofadhiliwa na Jumuiya hiyo

Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya, akiagana na afisa habari wa kituo cha haki za binaadam, Rose Mwalongo mara baada ya kumaliza kufungua mafunzo ya haki za binaadam kwa waandishi wahabari leo jijini Dar es salaam

Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa nchi za Ulaya, akiwa kwenye picha ya pamoja na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, muda mfupi baada ya balozi huyo kufungua mafunzo hayo ya siku moja

Washiriki wa mafunzo ya haki za binaadam waandishi wa habari kushoto, Kasilda Mgeni na kulia ni Aziz Msuya kutoka Morogoro wakisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na mwanasheria Harold Sungusia wa kituo hicho

Mwandishi wa RAIA MWEMA jijini Mbeya, Felix Mwakyembe kulia akisikiliza mada inayotolewa kwa makini

waandishi wa habari wakichukua taarifa muhimu

waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini

Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa ulaya akifungua mafunzo ya haki za binaadam kwa waandishi wa habari yanayofanyika leo jijini Dar es salaam, kushoto ni mwanasheria wa kituo cha haki za binaadam Harold Sungusia (Picha zote na mpiga picha wetu tanzaniasasa aliyeko kwenye mkutano huo) 

No comments: