Monday, May 27, 2013

BARAZA LA MADIWANI JIMBO LA HAI LAKUTANA

Madiwani wakiwa kwenye cha baraza wilayani Hai

Mkuu wa wilaya ya Hai, Novatus Makunga akisalimiana na Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni(CHADEMA),  na mbunge wa Hai Freeman Mbowe waliokuwa wakiingia kwenye kikao cha baraza la madiwani wilaya ya Hai

Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai wakati wa baraza la madiwani wilayani humo mwishoni mwa wiki iliyoisha

No comments: