Sunday, May 5, 2013

BREAKING NEWS! BALOZI WA VATICAN, ASKOFU MKUU JOSEPHAT LEBULU WANUSURIKA KIFO BAADA YA BOMU KUTUPWA NDANI YA UZIO WA KANISA

Majeruhi wakiwa wamepakiwa katika pick up tayari kuwahishwa hospitali kwa ajili ya kupata matibabu

Wasamaria wema wakimpakia kwenye gari mmoja wa majeruhi aliyepoteza fahamu baada ya kujeruhiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono lililorushwa kuingia ndani ya kanisa la Mtakatifu Joseph katoliki Olasiti

No comments: