Wednesday, May 1, 2013

MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MKOA WA ARUSHA YAFANYIKA KWA MAANDAMANO MAKUBWA, RC MAGESA MULONGO KARIBU ATAHUTUBIA WAFANYAKAZI

Wafanyakazi wa kiwanda cha maua cha sunflower wakipita barabara ya makongoro kuelekea uwanja wa mpira wa Shekh amri abeid kwa maandamano na nyimbo

Wfanyakazi wa Karama Lodge wakiwa wamebeba bango lao

Wafanyakazi wa hoteli ya Karama Lodge wakiwa wamebeba mabango yao

Wafanyakazi wa kiwanda cha Sunflag wakipita wakiimba

wafanyakazi wa kiwanda cha SUNFLAG wakiwa na sare zao kwenye maandamano katika barabara ya Makongoro

wafanyakazi wa kampuni ya Lodhia wakiwa wamebeba bango lao

Wafanyakazi wa A to Z wakiingia uwanjani kwa bashasha

Wafanyakazi wa A TO Z WAKIWA WAMEBEBA BANGO LINALOSOMEKA SAFIRISHA MIZIGO KWA KUTUMIA KAMPUNI TANZU ZA FFF

wafanyakazi wa a to z wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe unaosomeka ' A TO Z MWAJIRI NAMBA MOJA WA ARUSHA MEI MOSI 2013'

wafanyakazi wa A TO Z wakiingia uwanjani kwa maandamano muda huu

WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA KUTENGENEZA CHANDARUA CHENYE DAWA CHA A TO Z WAKIWA NA BANGO LENYE UJUMBE UNAOSOMEKA ' KATIBA MPYA IZINGATIE USALAMA KATIKA TABAKA LA WAFANYAKAZI' WAKIWA WANAINGIA KIWANDA CHA SHEKH AMRI ABEID

No comments: