Sunday, May 5, 2013

MBUNGE NASARI ACHANGIA DAMU KWA WAHANGA WA MLIPUKO WA BOMU KANISA KATOLIKI ARUSHA

MH MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASARY BAADA YA KUTOA DAMU KWA WAHANGA WA TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KTK KANISA KATOLIKI PAROKIA YA OLASITI, MBELE YAKE ALIYESIMAMA NI MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA

No comments: