Wednesday, May 15, 2013

MKURUGENZI MKUU A TO Z WAKIKABIDHIANA FULANA NA MRATIBU WA APC LEO

Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha A TO Z Anuj Shah akimkabidhi Mratibu wa APC na mkurugenzi wa tanzanisasablog, Seif Mangwangi, fulana ambazo zitatumiwa na wanachama wa APC kwenye Mkutano Mkuu hivi karibuni.

No comments: