Wednesday, May 29, 2013

ORXY NA MANJIS WAUNGANA KUKAMATA WACHAKACHUAJI WA GESI KWA KUTUMIA MITUNGI YAO JIJINI ARUSHA

Idadi kubwa ya mitungi ikisubiri kujazwa gesi kiwandani hapo

mitungu ya kampuni ya Manjis Gas na Orxy Gas ikiwa inajazwa gesi kiwandani kwa mchakachuaji kampuni ya Orange Gas

vifuniko vya mitungi ya gesi ikiwa imenyofolewa kutoka kwenye mitungi halisi ya kampuni za Manjis na Orxy

No comments: