Sunday, May 5, 2013

PICHA ZAIDI TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU KANISA KATOLIKI ULIONUSURU MAISHA YA BALOZI WA VATICAN, ASKOFU MKUU LEBULU, MAPADRI NA MAELFU YA WAUMINI LEO

hili ndilo eneo bomu hilio lilipodondokea

Askari Polisi wa upelelezi wakiendelea na uchunguzi wa kuchukua sampuni ya vitu vilivyobakia baada ya kulipuka kwa bomu hilo katika eneo la tukio ambalo limezungushiwa viti kuzuia watu wasiingie

Waumini Mapadri na viongozi wa kanisa wakiwa hawaamini kilichotokea, hapa wanaonekana wakiwa na huzuni baada ya mlipuko huo uliopelekea kusitishwa kwa ibada iliyokuwa ikiendelea kanisani hapo

 
Viatu vya waumini vingi vikiwa vya kina Mama waliojeruhiwa na kuviacha, kwa mbali inaonekana damu iliyomwagika kutoka kwa majeruhi hao

Mmoja wa majeruhi akipa huduma ya kwanza katika hospitali ya mtakatifu Elizabeth jijini Arusha muda mfupi baada ya kufikishw hospitalini hapo

Maiti ya mama mmoja wa Kimasai aliyekuwa akihudhuria misa ya uzinduzi wa kanisa la mtakatifu Joseph Olasiti ikiwa imewekwa hadharani kwa lengo la kuitambua,

No comments: