Friday, May 17, 2013

UJAMAA UCRT YATOA ELIMU YA UTALII KWA WADAU WA SEKTA HIYO ARUSHA

Baadhi ya wadau wa sekta ya utalii wilayani Longido mkoani Arusha wakiwa katika semina ya kujadili namna ya kunufaika na rasiliamali zinazowazunguka inayofadhiliwa na taasisi ya Tanzania Land Alliance kwa ushirikiano wa taasisi ya Ujamaa Community Resource Team jana jijini Arusha

Edward Lakaita

Mtaalamu wa sheria kutoka taasisi ya Ujamaa Community Resource Team,Edward Lekaita akitoa mada katika semina ya wadau wa utalii wa wilayani Longido inayofadhiliwa na taasisi ya Tanzania Land Alliance kwa ushirikiano na taasisi ya Ujamaa Community Resource Team iliyofanyika jana jijini Arusha

No comments: