Tuesday, June 18, 2013

NJIA ZAFUNGWA NA WAFUASI WA CHADEMA KWA KUWASHA MOTO WA MATAIRI BARABARA KUU YA KUINGILIA STENDI KUU YA MIKOANI NA KUTOKEA

MOTO BARABARA KUU YA MIANZINI STENDI KUU YA MIKOANI IKIWA IMEZIBWA KWA MOTO

RAIA WANAOONEKANA PEMBENI MFUASI WA CHADEMA AKISOGEZA GOGO KATIKATI YA BARABARA KUWASHA MOTO

VIONGOZI WA CHADEMA WAKIWA JUU YA JUKWAA WAKIZUNGUMZA NA WAFUASI WAO NA WANACHAMA KABLA MABOMU HAYAJAANZA KUPIGWA KUWATAWANYA ,ALIYESHIKA MIC NI MBUNGE WA ARUSHA MJINI AMBAE ALISEMA HAKUNA SHAKA POLISI NDIO WAMETUPA BOMU

No comments: