Friday, June 7, 2013

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!! TRAFIKI WATATU WAGONGWA KWENYE MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS MMOJA AFA

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE, TRAFIKI WATATU WAMEGONGWA KATIKA ENEO LA GYMKANA KARIBU NA HOTELI YA KIBO PALACE WAKIWA WANAELEKEZA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, INAELEZWA ASKARI MMOJA KAFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA GARI MOJA KUINGILIA MSAFARA HUO.

HABARI ZAIDI FUATILIA HAPA

No comments: