Saturday, June 22, 2013

CLAUD GWANDU ATETEA KITI CHAKE CHA UENYEKITI APC, ALAANI MABOMU NCHINI, AVITOA VYOMBO VYA DOLA KUFANYA UCHUNGUZI NA KUACHA MALUMBANO,

Mwanachama Abraham Gwandu akichangia katika taarifa ya fedha

Claud Gwandu akijinadi mbele ya wajumbe akiwania nafasi ya Mwenyekiti wa APC kwa mara nyingine

Charles Ngereza akisikiliza swali kwa makini kutoka kwa mmoja wa wajumbe

Charles Ngereza akiwaomba wajumbe kura kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti

Mwandishi na mwanachama wa APC Jane Edward akimuuliza swali mgombea

Mwenyekiti wa uchaguzi Deus Buganywa akihesabu kura za makamu mwenyekiti  pamoja na wateule wa wagombea katika nafasi hiyo, wa kwanza ni Mary Mwita na anayefuata ni Lilian Joel. katika nafasi hiyo wagombea walikuwa wawili ambao ni Charles Ngereza na Beatrice Gerald

Mwandishi Ashura Mohamed akimuuliza swali mmoja wa wagombea

Mwanachama Lilian Joel akiuliza swali mmoja wa wagombea

Mgombea wa nafasi ya mwekahazina Pamella Mollel akijinadi mbele ya wapiga kura

Msimamizi wa uchaguzi Deus Buganywa akisoma matokeo



Viongozi wapya walioingia madarakani na ambao hawakuwa viongozi kipindi cha miaka mitatu iliyoisha, kutoka kushoto ni Pamela mollel(Mweka hazina), Janeth Mushi (Mjumbe) na Semmy Kiondo(katibu mkuu)

Viongozi wapya waliochaguliwa na ambao wamerudia nafasi zao walizokuwa nazo awali, kutoka kushoto ni Claud Gwandu(Mwenyekiti), Charles Ngereza (Makamu Mwenyekiti) na David Frank (Mjumbe)

Msimamizi wa Uchaguzi Deus Buganywa akitoa nasaha baada ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa uongozi mpya wa APC

Msimamizi wa Uchaguzi Deus Buganywa ambae pia ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi akimpongeza mwenyekiti Claud Gwandu

Mwenyekiti mpya aliyerejea nafasi yake Claud Gwandu akitoa salamu baada ya kutangazwa mshindi

mara baada ya uchaguzi, Mwenyekiti akizungumza jambo na Msimamizi wa uchaguzi Deus Buganywa kutoka Mwanza

Picha ya pamoja uongozi mpya uliochaguliwa,  kutoka kushoto, Pamela Mollel mwekahazina,  Semmy Kiondo (Katibu Mkuu), Claud Gwandu (Mwenyekiti), Charles Ngereza (Makamu Mwenyekiti), waliosimama kutoka kushoto ni pamoja na David Frank na Janeth Mushi ( Wajumbe wa kamati ya utendaji), na Mustafa Leu (Katibu Msaidizi)


No comments: