Tuesday, June 18, 2013

FFU WAHARIBU HALI YA HEWA ARUSHA, MABOMU KILA UPANDE, WENGI WAHOFIWA KUFA, NI KATIKA HARAKATI ZA KUTAWANYA WAFUASI WA CHADEMA WASIFIKE MOCHWARI KUAGA MIILI YA WALIOLIPUKIWA NA MABOMU

Moshi mkubwa ukiwa umetanda juu katika eneo la Soweto uliosababishwa na mabomu ya machozi yaliyopigwa na askari wa FFU kutawanya wafuasi wa chadema leo

Askari wa FFU wakilipua mabomu

No comments: