Wednesday, June 12, 2013

HATIMAYE MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA CHADEMA WILFRED LWAKATARE APATA DHAMANA

Wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya Mahakama ya Kisutu.

ASKARI MAGEREZA WAKIFANYA ULINZI

LWAKATARE AKIFURAHIA KUPATA DHAMANA YEYE PAMOJA NA WAKILI WAKE PROFESA SAFARI

Wakili wa Wilfred Lwakatare, Peter Kibatara akiwa katika picha ya pamoja na mteja wake Wilfred  Lwakatare pamoja na wadhamini wake muda mfupi baada ya kuachiwa kwa dhamana na mahakama leo

Baada ya kupata dhamana safari ya kuelekea uraiani ilianza

 Lwakatare akipandishwa katika gari la CHADEMA Aina ya Toyota Hillux tayari kwa safari

Lwakatare akisalimia wafuasi wake gari likiwa linatoka mahakamani

Safari ilipokuwa imeanza, hapa akiwa ndani ya gari ya CHADEMA kutoka mahakamani

Akipata maji akiwa nyuma ya gari

No comments: