Wednesday, June 19, 2013

KAMISHNA CHAGONJA AMTAKA MBOWE KUMPELEKEA USHAHIDI RAIS KIKWETE WATU WALIORUSHWA BOMU UWANJA WA SOWETO

Kamishna wa Polisi akizungumza na waandishi wa habari leo ofisi za Polisi Makao Makuu

Kamishna Chagonja akifafanua jambo kw waandishi wa habari na hapa alikuwa akisisitiza jeshi hilo kumtaka Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kufikisha ushahidi wa mtu aliyelipua bomu uwanja wa soweto Polisi au kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama hana imani na jeshi hiloNo comments: