Wednesday, June 5, 2013

MWENYE WA UHURU WAINGIA ARUSHA, WAENDELEA NA ZIARA KATIKA WILAYA MBALIMBALI

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Elias Wawalali akiimbisha wanafunzi waliojitokeza kuupokea mwenge wilayani Ngorongoro leo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mages Mulongo akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo (hayuko pichani), tayari kuutembeza katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya mkoa wa Arusha

No comments: