Monday, June 3, 2013

PICHA MBALIMBALI UZINDUZI WA AIR UGANDA UWANJA WA KILIMANJARO KWA SAFARI ZA AFRIKA MASHARIKI, JUBA NA MOGADISHU

Air uganda ikimwagiwa maji na magari ya zimamoto kama ishara ya kuzinduliwa kwa safari za kutua katika uwanja wa ndege wa KIA

Gari za zimamoto zikimwagia maji ndege ya Air uganda kama ishara ya uzinduzi wake kiwanja cha KIA

Ikielekea kutia nanga

Ndege ya Air Uganda kama inavyoonekana kwa karibu

abiria akishuka

Abiria wakishuka ndani ya ndege

watendaji wa ndege ya Air uganda wakishuhudia ndege hiyo ilipokuwa ikitua uwanja wa Kia

Meneja masoko wa ndege ya Air Uganda, Jenifa musiime akikata keki kuashiria uzinduzi wa ndege hiyo

Jenifa Musiime akizungumza na waandishi wa habari waliofika uwanjani hapo kushuhudia tukio la kutua kwa  mara ya kwanza kwa ndege ya Air Uganda tangu kusitishwa kwa safari zake mwaka 2008 katika uwanja wa KIA

No comments: