Wednesday, June 12, 2013

TANAPA YAWAFUA WAHARIRI WA HABARI KUHUSU UJANGILI NCHINI MKOANI IRINGA

Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia watoa mada kwa makini

Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia mada katika mafunzo hayo ya siku nne yanayofanyika Iringa

wahariri wakichangia

Mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi akichangia katika moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina ya wahariri mjini Iringa

Mbunge wa Iringa na waziri Kivuli wa maliasili na utalii, Mchungaji Msingwa akichangia katika mada iliyokuwa imewasilishwa katika semina hiyo wa kwanza kulia ni mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi

Mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wa kwanza mbele kulia akisikiliza kwa makini uchangiaji wa Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Ardhi,Mazingira na maliasili James Lembeli katika semina hiyo ya siku nne

Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, Mazingira na Maliasili, Mbunge James Lembeli akisisitiza jambo alipokuwa akichangia jambo katika semina hiyo 

Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima akiuliza swali

Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam idara ya habari Ayoub Rioba akitoa mada

Mwandishi wa habari Antonio Nugas kutoka Radio Clouds kushoto akiwa pamoja na washiriki wengine katika mkutano huo.

No comments: