Tuesday, June 18, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KUJULIA HALI MAJERUHI WA MABOMU HOSPITALI YA SELIANI LEO NA KUGAWA MSAADA, AKUTANA NA MBUNGE NASSARI, AMUELEZA KILICHOMKUTA MAKUYUNI....

Akisumulia kilichompata makuyuni

Mbunge Nassari akimuonyesha Waziri Mkuu sehemu alizoumizwa

Waziri Mkuu akizungumza na Mbunge Nassari hospitalini seliani

Naibu waziri Maliasili Lazaro Nyalandu akimkabidhi vifaa hivyo waziri mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu akimkabidhi vifaa hivyo Kaimu mganga Mkuu  wa hospitali ya Seliani Dkt Paul Kisanga


No comments: