![]() |
| Neema Chalamila akiangalia kwa kutumia kifaa maalum cha kujaribu kuona wanyama walioko mbali na eneo alilosimama katika mamalaka ya hifadhi ya Ngorongoro |
![]() |
| Neema Chalamila kulia pamoja na washkaji zake |
![]() |
| Neema Chalamila akiwa katika picha ya pozi katika mti ambao pia ni moja ya vivutio katika bonde la hifadhi ya Ngorongoro |
![]() |
| Mdau Neema Chalamila akiwa amepozi juu ya boneti ya gari waliyosafiria |




No comments:
Post a Comment