| wakijiandaa kucheza ngoma |
| Vijana wakike wakijiandaa kwa kucheza ngoma |
| Mitungi inayotumika kuhifadhia pombe ya asali maarufu kwa jina la Gesuda |
| Vijana wa kike wa Kibarbaig wakijiandaa kwa ngoma |
| Mmoja wa wanaharakati wa jamii ya kibarbaig Udagwenga akisalimiana na Meneja wa kampuni ya utalii ya Moyo Afrika walipotembelea maramboi hivi karibuni |
| Vijana wa Kibarbaig wakiimba wimbo wa kabila hilo katika sherehe za kufurahia ushindi wa mahakama ya rufaa kuwarudishia eneo lao |
| Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Moyo Afrika, Wakili Duncan Mayomba Gitakanod akisalimiana na mzee Giyam mmoja wa wazee waliokuwa kinara katika kesi ya kuhamishwa katika eneo hilo |
| Duncan akisalimiana na kina Mama wa jamii ya kibarbaig |
| Wakili Duncan akisalimiana na kina Mama wa Kibarbaig |
| Vijana wa Kibarbaig wakiimba wimbo |
No comments:
Post a Comment