| ASKOFU MKUU JIMBO KATOLIKI ARUSHA JOSEPHAT LEBULU KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAJUMBE WA KAMATI YA WALEI JIMBO KATOLIKI ARUSHA |
| Mtangazaji wa kituo cha Radio 5 na MC Maarufu jijini Arusha, David Rwenyagira akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu, Jimbo Kuu Katoliki Arusha Mhashamu Josephat Lebulu |
| Askofu Lebulu akifurahia jambo na mtangazaji wa MJ Radio, Charles Beda |
| Askofu Lebulu akisalimiana na Katibu wa kamati ya walei, Mama Mosha katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano jimboni humo Padre Festus Yustus Mangwangi |
No comments:
Post a Comment