![]() |
| Gari lililobeba majeruhi likiwahi hospitali |
![]() |
| waumini wakikimbia eneo la tukio, nyuma ni gari iliyobeba majeruhi ikiwawahisha hospitali |
![]() |
| watu wakiondoka eneo la tukio, hapa dereva toyo anaonekana akitoa maelekezo kwa mmoja wa waumini waliokuwepo kanisani hapo |
![]() |
| taswira katika picha |
![]() |
| Gari iliyobeba majeruhi ikiondoka eneo la tukio |
![]() |
| Askari wa usalama barabarani na wananchi wakiwa wametaharuki wasiamini kilichotokea, katikati ni gari lililobeba majeruhi likiondoka eneo la tukio |
![]() |
| Gari la wazi lililobeba majeruhi likiwahi hospitali, pembeni ni askari wa usalama barabarani akijaribu kusogeza watu |







No comments:
Post a Comment