![]() |
Wakazi wa Arusha wakisubiri kupimwa masikio na kupatiwa kifaa cha kuwasaidia kusikia |
![]() |
Madaktari kutoka Hearing Foundation wakimwekea mtoto kifaa cha kusikia |
![]() |
Kiongozi wa madaktari hao akitoa maelekezo ya kazi kwa vijana alioongozana nao kwa ajili ya kusaidia zoezi la utoaji wa huduma hiyo katika hospitali ya Seliani jijini Arusha |
![]() |
Akiendelea kutoa maelekezo muhimu |
![]() |
Mmoja wa wagonjwa akiwekewa kifaa cha kusikilizia |
![]() |
mchezaji bora wa mchezo wa rugby nchini Marekani akimpatia mtoto aliyekwisha patiwa kifaa cha kumsaidia kusikia fulana kama zawadi |
No comments:
Post a Comment