![]() |
| Mwanachama Abraham Gwandu akichangia katika taarifa ya fedha |
![]() |
| Claud Gwandu akijinadi mbele ya wajumbe akiwania nafasi ya Mwenyekiti wa APC kwa mara nyingine |
![]() |
| Charles Ngereza akisikiliza swali kwa makini kutoka kwa mmoja wa wajumbe |
![]() |
| Charles Ngereza akiwaomba wajumbe kura kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti |
![]() |
| Mwandishi na mwanachama wa APC Jane Edward akimuuliza swali mgombea |
![]() |
| Mwandishi Ashura Mohamed akimuuliza swali mmoja wa wagombea |
![]() |
| Mwanachama Lilian Joel akiuliza swali mmoja wa wagombea |
![]() |
| Mgombea wa nafasi ya mwekahazina Pamella Mollel akijinadi mbele ya wapiga kura |
![]() |
| Msimamizi wa uchaguzi Deus Buganywa akisoma matokeo |
![]() |
| Viongozi wapya walioingia madarakani na ambao hawakuwa viongozi kipindi cha miaka mitatu iliyoisha, kutoka kushoto ni Pamela mollel(Mweka hazina), Janeth Mushi (Mjumbe) na Semmy Kiondo(katibu mkuu) |
![]() |
| Viongozi wapya waliochaguliwa na ambao wamerudia nafasi zao walizokuwa nazo awali, kutoka kushoto ni Claud Gwandu(Mwenyekiti), Charles Ngereza (Makamu Mwenyekiti) na David Frank (Mjumbe) |
![]() |
| Msimamizi wa Uchaguzi Deus Buganywa akitoa nasaha baada ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa uongozi mpya wa APC |
![]() |
| Msimamizi wa Uchaguzi Deus Buganywa ambae pia ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi akimpongeza mwenyekiti Claud Gwandu |
![]() |
| Mwenyekiti mpya aliyerejea nafasi yake Claud Gwandu akitoa salamu baada ya kutangazwa mshindi |
![]() |
| mara baada ya uchaguzi, Mwenyekiti akizungumza jambo na Msimamizi wa uchaguzi Deus Buganywa kutoka Mwanza |


















No comments:
Post a Comment