![]() |
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akimjulia hali Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari |
![]() |
Mganga mkuu wa hospitali ya ST..Elizabeth Dkt Kwayu akimweleza Dkt Bilal athari aliyopata majeruhi wa bomu |
![]() |
Makamu wa Rais akimfariji majeruhi Sarah John Mrema aliyelazwa katika hospitali ya St.Elizabeth |
![]() |
Dkt Kwayu akimuonyesha Makamu wa Rais majeruhi mwingine wa mlipuko |
![]() |
Madaktari hospitali ya Seliani wakimkagua majeruhi kumuonyesha Makamu wa Rais sehemu aliyoumia majeruhi huyo |
![]() |
Makamu wa Rais akiwa ndani ya hospitali ya Seliani |
![]() |
Makamu wa Rais akimjulia hali Mbunge Nassari |
![]() |
Nassari akiwa kalazwa Seliani |
![]() |
Mkuu wa Mkoa akimjulia hali Mbunge Nassari katika hospitali ya Seliani |
![]() |
Makamu wa Rais akizungumza na mganga wa Hospitali ya Seliani Dkt Paul Kisanga |
![]() |
Daktari wa hospitali ya Seliani Dkt Paul Kisanga akimweleza Makamu wa Rais maendeleo ya majeruhi hospitalini hapo |
![]() |
Dkt Kwayu akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais |
![]() |
Makamu wa Rais akimfariji mmoja wa wahanga wa tukio la bomu |
![]() |
Mmoja wagonjwa Sarah Mrema akimuomba Makamu wa Rais kukanya polisi kutumia silaha kupiga watu |
![]() |
Makamu wa Rais akisaini kitabu cha wageni hospitalini Seliani |
![]() |
Makamu wa Rais akizungumza na wauguzi, wagonjwa na wakazi wa maeneo ya jirani katika hospitali ya St.Elizabeth kuhusu mlipuko wa bomu |
![]() |
Makamu wa Rais akisaini kitabu cha wageni katika hospitali ya St.Elizabeth |
No comments:
Post a Comment