| Wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya Mahakama ya Kisutu. |
| ASKARI MAGEREZA WAKIFANYA ULINZI |
| LWAKATARE AKIFURAHIA KUPATA DHAMANA YEYE PAMOJA NA WAKILI WAKE PROFESA SAFARI |
| Wakili wa Wilfred Lwakatare, Peter Kibatara akiwa katika picha ya pamoja na mteja wake Wilfred Lwakatare pamoja na wadhamini wake muda mfupi baada ya kuachiwa kwa dhamana na mahakama leo |
| Baada ya kupata dhamana safari ya kuelekea uraiani ilianza |
| Lwakatare akipandishwa katika gari la CHADEMA Aina ya Toyota Hillux tayari kwa safari |
| Lwakatare akisalimia wafuasi wake gari likiwa linatoka mahakamani |
| Safari ilipokuwa imeanza, hapa akiwa ndani ya gari ya CHADEMA kutoka mahakamani |
| Akipata maji akiwa nyuma ya gari |
No comments:
Post a Comment