![]() |
Gari la kubeba wagonjwa la hospitali ya Mountmeru likiwa limepasuliwa vioo na wafuasi wa Chadema baada ya dereva wa gari hilo kugoma kwenda kuchukua majeruhi wa mlipuko |
![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo akimsikiliza majeruhi wa mlipuko Abdallah Alila akisimulia mkasa wa tukio hilo ambae alidai kuwa askari walirusha risasi hovyo baada ya kutokea mlipuko huo |
![]() |
Mtoto mdogo Fahad Jamal akiwa ICU |
![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo akizungumza na waandishi wa habari nje ya hospitali ya Seliani |
No comments:
Post a Comment