| Air uganda ikimwagiwa maji na magari ya zimamoto kama ishara ya kuzinduliwa kwa safari za kutua katika uwanja wa ndege wa KIA |
| Gari za zimamoto zikimwagia maji ndege ya Air uganda kama ishara ya uzinduzi wake kiwanja cha KIA |
| Ikielekea kutia nanga |
| Ndege ya Air Uganda kama inavyoonekana kwa karibu |
| abiria akishuka |
| Abiria wakishuka ndani ya ndege |
| watendaji wa ndege ya Air uganda wakishuhudia ndege hiyo ilipokuwa ikitua uwanja wa Kia |
| Meneja masoko wa ndege ya Air Uganda, Jenifa musiime akikata keki kuashiria uzinduzi wa ndege hiyo |
No comments:
Post a Comment