![]() |
| Naibu Waziri wa Fedha,janeth Mbene akijibu maswali ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini |
![]() |
| Naibu waziri wa fedha Janeth Mbene akiwasilisha hotuba yake katika ufunguzi wa mafunzo hayo |
![]() |
| Alex Afisa kutoka Wizara ya Fedha akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawaonekani pichani) |
![]() |
| Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara ya Fedha ambaye ni Mratibu wa Mafunzo akizungumza na waandishi wa habari |
![]() |
| Kiongozi wa mafunzo akiwasilisha ratiba, wa kwanza kushoto ni naibu waziri wa fedha Janeth Mbene |
![]() |
| Waandishi wa habari wakimhoji mmoja wa wakurugenzi wizarani hapo |
![]() |
| Fatma Urari na Mwantumu Dau wakisikiliza hotuba ya Naibu waziri wa fedha Janeth Mbena kwa makini |
![]() |
| washiriki wakisikiliza kwa makini na wengine wakichukua taarifa kwa ufupi |
![]() |
| Picha ya pamoja na Naibu waziri Janeth Mbene |
![]() |
| Picha ya pamoja na Naibu waziri Janeth Mbene |
![]() |
| Wadau kutoka wizara na idara mbalimbali |











No comments:
Post a Comment