| Katibu Mkuu Msaidizi wa EAC akipanda mti |
| katibu mkuu msaidizi wa EAC Enos Bukuku akipanda mti |
| Katibu Mkuu msaidizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Enos Bukuku akirudishia udongo ndani ya shimo baada ya kupanda mti |
| Dkt. Namajeje Wegor akipanda mti |
| Mmoja wa wakurugenzi ndani ya mahakama ya Afrika Mashariki akinyunyizia maji tayari kwa kupanda mti |
| Dkt Wegoro Namajeje akimwagilia maji mti aliokwishaupanda |
| Kiongozi wa mahakama ya Afrika Mashariki akiingiza udongo |
| Akirudishia udongo kwenye mti alioupanda |
| wafanyakazi wakiimba wimbo wa Jumuiya hiyo |
| wafanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiimba wimbo wa Jumuiya hiyo wa tatu kutoka kulia ni mmoja wa wakurugenzi katika jumuiya hiyo Dkt.Namajeje Wegoro |
| Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera akimwagia shimo maji ikiwa ni matayarisho ya kupanda mti |
| Akichomolewa karatasi ya chini tayari kwa kupanda mti |
| Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera akipanda mti leo |
| Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera akipokea mic kutoka kwa MC kwa ajili ya kutoa neno la shukrani |
No comments:
Post a Comment