![]() |
Ujenzi wa jengo lingine litakalotumika kwa shughuli za ushuru ukiendelea mpakani Holili |
![]() |
Waandishi wa habari kutoka nchi za Kenya na Tanzania wakimsikiliza Ofisa katika mpaka wa Holili akitolea maelezo ujenzi unaoendelea mpakani humo |
![]() |
Waandishi wa habari wakiwa upande wa Tanzania mpaka wa Holili wakiangalia mandhari ya upande wa Kenya |
![]() |
Mkurugenzi wa blogu hii Seif Mangwangi akibambia katika kunogesha utamu wa picha |
![]() |
Kibao hiki kipo Taveta nchini Kenya, kinaonyesha sehemu ambayo malazi yanaweza kupatikana kwa wale wageni katika eneo hilo |
![]() |
KIJIWENI: Baadhi ya wakazi wa mji wa Taveta wakiendelea na shughuli zao za kila siku |
No comments:
Post a Comment