HABARI ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA HAPA!!!!!!!!
![]() |
Makachero wa jeshi la Polisi wakiwa wamewakamata wanachuo wawili katika vurugu hizo |
![]() |
Baadhi ya wanafunzi waliohisiwa kufanya vurugu chuoni IAA wakiwa chini ya ulinzi ndani ya gari la Polisi |
![]() |
Gari la Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema likivutwa kupelekwa polisi baada ya yeye kutuhumiwa kuchochea vurugu katika chuo cha uhasibu jijini hapa na baadae kutoroka kabla ya kukamatwa leo |
![]() |
Askari wa FFU wakiwa tayari kukabiliana na vurugu za wanafunzi wa chuo cha uhasibu njiro |
![]() |
Askari wa FFU wakiwa wamemweka chini ya ulinzi mmoja wa wanafunzi wa chuo cha uhasibu njiro ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akituhumiwa kushiriki kwenye vurugu hizo |
No comments:
Post a Comment