![]() |
| wafuasi wa CHADEMA wakimsikilia Lema |
![]() |
| Wafuasi wa CHADEMA wakimsikiliza Mbunge wao Godbless Lema alipokuwa akiwahutubia leo katika viwanja vya shule ya msingi ngarenaro |
![]() |
| wafuasi wa chadema wakiwa wamezingira viwanja vya mahakama kuu jijini hapa |
![]() |
| Mama mmoja shabiki wa CHADEMA akionyesha bango lenye maandishi kuonyesha hisia zake kwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema. |
![]() |
| Mbunge Lema pamoja na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua nasari wakiwa juu ya gari wakihutubia umati wa wananchi waliojitokeza baada ya kupata dhamana kwa kosa la kukashifu |






No comments:
Post a Comment