| Vijana wa kibarbaig wakitoa ndani pombe ya asili ya kabila hilo tayari kunywewa |
| Vijana wa Kibarbaig wakijitayarisha kuanza kugawa pombe ya Gesoda |
| Gesoda ikimiminwa kwenye pembe tayari kwa kunywewa |
| Wakili Duncan Mayomba akinywa Gesoda, pombe ya kienyeji inayotengenezwa kwa mizizi ya alovera na asali |
| Wakili Duncan akimshikilia mwandishi Richard Mwangulube pembe iliyojaa pombe aina ya Gesoda |
| Vijana wa Kibarbaig wakiwakabidhi pombe aina ya Gesoda Mwandishi Richard Mwangulube na Wakili Duncan |
| Kijana wa Kibarbaig akimjazia pombe aina ya Gesoda Wakili Duncan |
| Mwandishi Mkongwe, Richard Mwangulube akipiga fundo la Gesuda pombe ya asili ya wabarbaig |
| Maria akipata Gesoda |
| Maria akicheza ngoma ya asili ya kibarbaig |
No comments:
Post a Comment