![]() |
| Wafanyabiashara wakiuza bidhaa zao pembeni ya barabara |
![]() |
| wafanyabishara wakiuza bidhaa zao pembeni ya barabara ya mbauda kwa mrombo leo |
![]() |
| Mfanyabiashara wa Kuku akimchinja kuku tayari kwa kuuza |
![]() |
| mzee huyu alinaswa na kamera yetu akiwa amebeba kuni, pembeni na soko la Mbauda |
![]() |
| Wafanyabiashara wa viatu |
![]() |
| Gari hili aina ya Scania lilitumbukia katika mtaro karibu na benki ya Azania na kusababisha foleni kubwa kwa wakazi wanaotumia barabara ya Mbauda kwa Morombo |







No comments:
Post a Comment