Tuesday, July 9, 2013

MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MAEGESHO YA MAGARI YA JNM JUSTINE NYARI AKUTANA NA WAFANYAKAZI WAKE NA KUWAPA CHANGAMOTO ZA KAZI, NI KATIKA UKUMBI WA POLICE OFFICERS MESS

mmoja wa wasimamizi wa wafanyakazi wa kampuni ya JNM akichangia mada katika mkutano huo

wafanyakazi wakisikiliza kwa makini

Mmoja wa wafanyakazi akichangia

wafanyakazi wakisikiliza kwa makini


mmoja wa wafanyakazi mbele akijaribu kueleza kiwango cha mshahara ambacho angependa walipwe mbele ya mkurugenzi Justine Nyari

Mkurugenzi wa JNM Justine Nyari akijibu hoja za wafanyakazi


Mkurugenzi wa JNM akijibu hoja za wafanyakazi

Mkurugenzi wa JNM Justine Nyari akiagana na Meneja wake baada ya kumalizika kwa mkutano huo

mmoja wa wafanyakazi akiomba dua ya kufunga mkutano huo

No comments: