Wednesday, May 22, 2013

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!! NYUMBA YA KASSIM MIKONGOLO WA TBC MTWARA INADAIWA KUCHOMWA MOTO HALI NI TETE!!!!!!

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE HUKO MTWARA ZINASEMA KWAMBA, NYUMBA YA KASSIM MIKONGOLO MWANDISHI WA TBC MKOANI MTWARA IMETEKETEZWA KWA MOTO NA WANANCHI WASIOJULIKANA. TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA HAPA HAPA TANZANIASASA, UKWELI NA UHAKIKA

No comments: