Saturday, May 11, 2013

MTOTO WA MIAKA 9 AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI HUKO TARIMEPolisi mkoani Tarime wameua mtoto wa miaka 9, Deo Yakob, katika kilichoripotiwa kuwa pilikapilika za kukamata majambazi wanaoiba na kuua watu mpakani mwa Tanzania na Kenya.
 
Bado hakuna maelezo zaidi, kuhusu ni kitu kani kilichopelekea mtoto huyo kuuawa katika juhudi za polisi kukamata majambazi hayo. Pia haijafahamika kama polisi hao walifanikiwa  kuwakamata majambazi...
 
Pichani ni wananchi wakiwa na mwili wa mtoto huyo ambaye alikua ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Mturu, mjini Tarime.

No comments: